Je umekonda na unataka kunenepa? fuata njia hizi.
ukila sana utanenepa |
Asubuhi.
Chapati 3,supu ya utumbo,soda baridi moja ukishamaliza shushia na lita 1 ya maji.
Mchana.
Chips Kuku,mayai mawili pembeni,soda baridi,ukimaliza shushia maji baridi lita 1
Usiku.
Nyama nusu,ndizi 4,biereee 4 then ulale,fanya hivyo kwa mwezi utanenepa ukifikia unene unaoutaka unaacha ukizidisha unadead.
Kama hutanenepa basi nashauri waone wataalamu wa afya watakupatia dawa lishe.
Comments
Post a Comment