Je ungependa kujua kuhusu mitindo mipya ya mavazi inyokiki Bongo?

Mitindo mipya ya mavazi inayo kiki ndani ya bongo ni kama ifuatavyo

Mavazi ya wanawake ambayo hutakiwi yakupite
Mavazi yanayo faa sana kwa wakinamama
Unaweza pia kutokelezea na mavazi haya hasa kwa wadada wa kisasa

gauni safi la kitenge
 Kwa wakaka wa mjini pia wanaweza kupendeza kwa kutupia mavazi haya ya kisasa


Comments

Popular Posts