Jinsi ya kutumia Utorrent kwenye PC yako

Image result for U torrent

1. Download U-torrent (Bofya Hapa) au download version mpya zaidi (Bofya hapa).
2. Baada ya kudownload file hilo, INSTALL, unaweza ku double click na kuanza kuliingiza katika computer yako.



3. Baada ya kuinstall U-torrent itaf.


Sasa kama nilivyokueleza hapo awali, U-torrent huweza kudownload file likiwa katika mfumo wa torrent pekee, kwa maana hiyo basi kama file haliko katika mfumo wa torrent hautaweza kulidownload. Ina maana kama utaihitaji kudownload nyimbo za Bongo fleva hautaweza kuzipata kwa kutumia U-torrent kwani watu hawajaziweka katika mfumo huo.

Hatua inayofuata baada ya kuinstall U-torrent katika computer yako ni kutafuta faili unalohitaji kulidownload ambalo lipo katika mfumo wa torrent. Kwa bahati nzuri kama unatumia Mozilla Firefox hukuwezesha kudownload torrent haraka zaidi pindi unapoifungua. Utatumia njia za kawaida kama unazotumia wakati unapohitaji kusearch file kupitia google sema sasa itabidi tutumie google ambayo ina mafaili ya torrent tu.

Google hizi zenye torrent tu ni hizi hapa:

Ninakushauri utumie www.kickass.to kwa sababu ya mpangilio wake mzuri. 
4. Baada ya kufungua search engine hiyo au google hiyo unaweza sasa kusearch kile unachotaka kudownload. Kwa mfano kama tunahitaji kudownload programu ya Ashampoo Burning Studio. Itakuwa kama hivi. 
5.Katika matokeo utakayoyaona utachagua lile ambalo ni bora kwa matakwa yako. Kisha fanya kulibonyeza.
6.Baada ya hapo bonyeza kitufe cha DOWNLOAD TORRENT. Kama unatumia Mozilla firefox utaona baada ya kubofya kitufe hicho ujumbe unaokuuliza kama unahitaji kusevu kwa U-torrent sema OK kisha fuata hatua ifuatayo. Kama unatumia Chrome au Firefox na haujaona ujumbe huo, fungua tu U-torrent kisha tizama upande wa juu kushoto na chagua alama ya kujumlisha (+). Baada ya hapo chagua file unalotaka kulidownload kutoka katika Downloads litakuwa na picha kama hii na jina la programu hiyo pia.
7.Baada ya hapo utaweza kuchagua ni kipi ungependa kuchukua na kipi usingependa kuchukua katika file husika. Usichague kama hauna uhakika. Baada ya hapo bofya OK. File litaanza kudownowload.
Hongera umejifunza jinsi ya kutumia U-torrent kudownload mafaili mbalimbali.
PS: Nimetumia neno Google ya Torrent ili kurahisisha msomaji kuelewa kuwa zile tovuti hufanya kazi ya ku search kama google lakini hazina uhusiano wowote na google.

Comments

Post a Comment

Popular Posts