Mikato mipya ya kiume

For an ultra sophisticated editorial look break out the suit go down to the city and incorporate glass and high rise buildings.
Pinstrip suit pamoja na viatu vyake


Kama ungependa kuonekana nadhifu ofisini ni vizuri kuvaa suti ambayo ni ya kisasa ili kuonekana mwanume unaekwenda na wakati. kwa hivyo Pinstripe suit inaweza kuwa chaguo lako la kwanza.

Pinstrrip suit imetengengenezwa kwa technologia ya kisasa na ni moja wapo kati ya aina ya suti ambayo huweza kumpendeza vizuri mwanaume yeyote anayejiamini.
Unapoenda kwenye maduka ya nguo popote tanzania uliziazia pinstrip suit na uijaribu. Rangi ya kiatu na rangi ya mkanda ni lazima vifanane ili kuongeza utanashati.

Comments

Popular Posts