Pacha walioshikana Tanzania wafikisha miaka 19
![]() |
Maria na Consolata |
Wasichana hawa ambao kwa sasa wana miaka 19 wanasoma katika shule ya sekondari Udzungwa mkoani Iringa,
Watoto hao walianza kusoma shuleni hapo tangu kidato cha kwanza na wanaishi katika chumba maalumu utokana na hali yao. kinachshangaza ni kwamba uelewa wao darasani ni mkubwa kuliko kawaida na ufaulu wao katika masomo yao yote ambayo ni Historia, geografia na kiswahili umemkuwa ni wa daraja la kwanza tangu walipoingia kidato cha sita, alisema mwalimu wa shule hiyo. Walipoulizwa kuhusu malengo yao ya baadaye watoto hao walisema wangependa kuwa walimu.
walipoulizwa juhusu changamoto walizo nazo walidai kuwa hakuna changamoto yoyote mbayo ina weza kuwafanya kujisikia vibaya au kushindwa kufanya majukumu yao ya kila siku.
Comments
Post a Comment