Picha ya Mugabe imekuwa gumzo mitandaoni.
Ukiiangalia picha hii inaonyesha kama mugabe kanyoa staili fulani hivi lakini si hivyo bali ni nywele za mwanamke aliyekuwa amesimama nyuma yake, Watu katika mitandao mbalimbali wamekuwa wakisema babu wa watu kafuga nywele lakini wala. Hata hivyo inasemekana rais mugabe alipoona picha hiyo hakuishangaa na alidai kuwa haina mkanganyiko wowote na kuwa inaonyesha wazi kuwa nywele hizo si zake, na wale wanaoeneza uvumi huo wana chuki zao tu binafsi.

Comments
Post a Comment