 |
Chuma cha kulia chakula au kunywea vinywaji |
Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria starehe lakini
utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000 na unaweza
kuchagua kati ya safari ya siku mbili au nne. Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria starehe lakini
utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000 na unaweza
kuchagua kati ya safari ya siku mbili au nne. Mandhari ya treni hiyo hukuwezesha kutulia huku ukifurahia glasi ya mvinyo.
Comments
Post a Comment